UA-45153891-1

Wednesday, February 19, 2014

'UMEMISS' KUMUONA NYOTA NDOGO?... BASI TAZAMA PICHA HII

Mwanamuziki wa nchini Kenya aliyewai kukuletea nyimbo kali kama 'Mpenzi (Nibebe)' na 'Watu na Viatu'. Aliingia kwenye kipengele cha wimbo bora wa Afrika Mashariki kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro za hapa nchini Tanzania mwaka 2007.
Ni mwanadada ambaye alikuwa msaidizi wa kazi za ndani, akajinyenyekeza huku akifanyia kazi kipaji chake na mwisho wa siku akaeleweka. Nyota Ndogo mwenye umri wa miaka 33 ana album 3 mpaka sasa ambazo ni Mpenzi, Chereko na Nimetoka Mbali.

No comments:

Post a Comment