UA-45153891-1

Saturday, February 1, 2014

HAPPYBIRTHDAY JUSTIN TIMBERLAKE- 31 JANUARY



Leo January 31 ni siku ya kuzaliwa ya mwanamuziki Justin Timberlake. Mwanamuziki huyo wa nchini Marekani ambaye pia ni mcheza filamu maarufu, wimbo wake wa "Suit and Tie" ambao amemshirikisha Jay-Z umechukua tuzo ya video bora ya mwaka katika tuzo za Grammy 2014. Pia wimbo alioshirikishwa na Jay-Z wa "Holy Grail" umechukua tuzo ya wimbo bora wa rap wa kushirikiana.

No comments:

Post a Comment