UA-45153891-1

Monday, February 3, 2014

JACKLINE WOLPER ANAPOSEMA MITINDO NDIYO KILA KITU

Jackline Wolper

Muigizaji maarufu Jackline Wolper aliandika kupitia ukurasa wake wa Facebook mwishoni mwa mwaka jana 2013, akiwaambia kinadada wenzake kwamba mitindo na kupendeza ndilo jambo la kwanza na baada ya hapo mambo mengine yanajileta yenyewe.

Mrembo huyo wa Bongo Movie ambaye pia yuko kwenye shindano la ‘Ijumaa Sexiest’ linaloratibiwa na kampuni ya Global Publishers, ndiye aliyekuwa mshindi wa shindano hilo mwaka 2012/ 2013. 

Tazama  picha za washiriki wengine tisa wa shindano hilo pamoja na majina yao.



Brigitte Alfred
 Wema Sepetu
Elizabeth Michael ‘Lulu’

Jokate Mwegelo 


Irene Paul


Nelly Kamwelu


Salha Israel


Baby Madaha 


Wellu Sengo

No comments:

Post a Comment