UA-45153891-1

Monday, February 17, 2014

ERICK OMONDI ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YA WAPENDANAO "VALENTINE"


Siku ya wapendanao 'Valentine' ni miongonimwa siku zenye umaarufu mkubwa ulimwenguni na kwa maana nzuri ni siku amabayo watu wanaweka chini tofauti zao na kuonyeshana upendo. Sio tu kwa mtu na mwenza,  kwa familia na marafiki bali pia kwa watu au makundi ya watu wanaojihisi kutopendwa.


Mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Eric Omondi alisherehekea siku hiyo kwa kuwtembelea wafungwa wa kike katika Gereza la shimo la Tewa nchini humo. Eric omondi aliweka picha yake mtandaoni ambayo anaonekana na wafungwa hao.

No comments:

Post a Comment