UA-45153891-1

Tuesday, February 11, 2014

HAPPY BIRTHDAY DON OMAR WA 'DANZA KUDURO'


Leo February 10 ni siku ya kuzaliwa muimbaji wa nchini Puerto Rico ambaye pia siku za nyuma aliwai kuwa mtumishi katika kanisa moja nchini humo. Alifahamika zaidi kama mwanamuziki mwaka 2006 ambapo pia watu walimuita  'King of Kings'.

Wimbo wake wa 'Danza Kuduro' ulikamata chart mpaka kufikia kiwango cha Platnum nchini Italia , Ujerumani, Hispania na Switzerland. Ana watoto wanne na aliachana na mke wake mwaka 2011.Don Omar ambaye anatimiza miaka 36, ameshirikishwa katika baadhi ya nyimbo na wanamuziki mbalimbali ikiwa pamoja na Daddy Yankee kwenye wimbo wa 'Gata Gangster'.

No comments:

Post a Comment