UA-45153891-1

Tuesday, February 25, 2014

NDOTO ZA KITAA ZAZINDULIWA CLOUDS TV


Ni mpango wa kubadili fikra za watu na kuwafanya wafikie ndoto zao . Akizungumza kupitia Clouds FM, Mkurugenzi wa vipindi wa Redio hiyo Ruge Mutahaba alisema,
“ Lengo hasa ni kubadili mtazamo wa watu kwa kuwafanya waanze kufikiria dhamira yao kwanza na kuyafanya yale yanayoweza kuwafanya watimize ndoto zao kabla ya kuanza kulaumu mfumo”

No comments:

Post a Comment