UA-45153891-1

Wednesday, February 12, 2014

TUNDAMAN ASEMA VIDEO YA MSAMBINUNGWA NI SHIDA JUU YA SHIDA


Msanii wa Bongo Flava kutoka Tiptop connection maarufu kama Tundaman, amesema leo kupitia Instagram kwamba video yake ya wimbo wa ‘Msambinungwa’ aliomshirikisha Ally Kiba, ni shida juu ya shida akimaanisha ni nzuri au kwa lugha nyingine moto wa kuotea mbali. Akiwa pia ametupia picha hiyo inayoonekana hapo juu ambayo ni sehemu ya video hiyo, amepata maoni mbalimbali ya mashabiki wake kupitia mtandao huo.

Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki kupitia Intagram



No comments:

Post a Comment