UA-45153891-1

Friday, February 7, 2014

JE WAJUA KWANINI BLUU NDIYO RANGI YA FACEBOOK?

Mark Zuckerberg

Hii ni kwa sababu  mwanzilishi na kiongozi wa mtandao huo Mark Zuckerberg ana tatizo la kuona rangi nyekundu na kijani 'red-green colorblindness'. Hivyo rangi anayoiona vizuri sana ni ya Bluu. Ni kwa mujibu wa mtandao wa CNN ulipozungumzia mambo kumi kuhusu kipanga huyo aliyeanzisha mtandao huo akiwa chuoni Havard. 

Pia Zuckerberg anapenda kuvaa Tisheti ya Facebook yenye rangi ya kijivu karibu kila siku ambayo anadai inamsaidia kuokoa muda wakati wa kuvaa asubui, maana yuko bize sana.

No comments:

Post a Comment