UA-45153891-1

Sunday, February 9, 2014

SIKU YA KUZALIWA MWANDISHI MAARUFU WA VITABU NA FILAMU NCHINI UINGEREZA 'MALORIE BLACKMAN'

Malorie Blackman

Malorie Blackman ni mwandishi wa vitabu  na Script za Filamu ambaye ni maarufu zaidi kwa vitabu na vipindi vya Televisheni vya watoto na vijana. Alihitimu masomo yake katika Chuo cha Taifa cha Filamu na Televisheni nchini Uingereza na kuanza kuandika Script ikiwemo ya 'Byker Grove' na za vipindi mbalimbali vya watoto vya Televisheni. 

Pia ameandika 'Novels' nyingi  za watoto ikiwa pamoja na Whizziwig Returns, The Space Stowaway na Operation Gadgetman. Alizaliwa London Uingereza February 8, 1962.

No comments:

Post a Comment