UA-45153891-1

Wednesday, February 12, 2014

SIKU YA KUZALIWA KELLY ROWLAND NA BRANDY


Mastaa hawa wa muziki wa nchini Marekani wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa leo Februari 11, 2014 ambapo Kelly alizaliwa Februari 11, 1981 maeneo ya  Georgia nchini Marekani , hivyo ametimiza miaka 33. Brandy yeye kamtangulia Kelly miaka miwili ambapo alizaliwa Februari 11, 1979 maeneo ya  Mississippi  nchini humo na hivyo ametimiza miaka 35.

No comments:

Post a Comment