UA-45153891-1

Saturday, February 1, 2014

SIKU YA WATOTO WA MTAANI ULIMWENGUNI- JANUARI 31




Leo Januari 31, ni siku ya watoto wa mtaani ulimwenguni. 

Anayeitwa mtoto wa mtaani anaweza kuwa kiongozi mashuhuri kama Nelson Mandela, mwanasoka kama Cristiano Ronaldo, muigizaji kama Lupita Nyong'o, mfanyabiashara kama Regnard Mengi,  mwanamitindo kama Flaviana Matata, mwanataaluma na mwanadiplomasia kama Prof. Anna Tibaijuka na kadhalika na kadhalika.

No comments:

Post a Comment