UA-45153891-1

Wednesday, February 26, 2014

PICHA ZA VIDEO YA DIAMOND NA D'BANJ KAMA VIRUSI


Ikiwa ni masaa machache tangu mwanamuziki staa wa wimbo wa 'Number One' Diamond Platnumz alipoweka picha za Video ya Project ya 'Do agric' anayofanya na mwanamuziki wa nchini Nigeria D'Banj,zimesambaa kwenye  mitandao mbalimbali ya Afrika mashariki kama virusi au kwa lugha nyingine wanasema zimekuwa 'Viral' ambapo mitandao imezichukua na kuzizungumzia  ikiwa pamoja na mtandao wa 'vibeweekly.com' ulioandika kichwa cha habari "Diamond Releases Behind The Scenes Photos Of His Video With Dbanj" na kuandika haya  juu ya msanii huyo.
"Diamond recently did a collabo with Naija's top musician Dbanj, the video is still in its post production stages but by the look of things, it might just be a smash.
The "Number One' singer has been recently releaesed the video to the Number One remix featuring Naija wonderkid Davido."

Diamond aliweka picha hizo Jumanne Februari 25, 2014 kwenye Blog ya 'wasafii.blogspot.com' na kuandika kichwa cha habari "PICS OF TODAY-WITH DBANJ WAKATI WA VIDEO MAKING YA DO AGRIC PROJECT ". Hizi ndizo picha zenyewe.



No comments:

Post a Comment