UA-45153891-1

Tuesday, February 25, 2014

SASA KUNA WAZEE WA NGWASUMA NA VIJANA NGWASUMA


Bila shaka wengi wanaifahamu bendi ambayo ni miongoni mwa zile  maarufu hapa nchini, inayoitwa FM Academia ‘Wazee wa ngwasuma’. Baada ya bendi hiyo kuwa na wanamuziki wengi mpaka kufikia kiasi kwamba wengine wanafanya vizuri nyuma ya vipaza sauti na vyombo  vingine vya muziki lakini hawajulikani  kwa muda mrefu japo kazi nzuri inaonekana, baadhi yao wamehamua kujitoa na kuanzisha bendi nyingine inayoitwa  ‘Vijana wa ngwasuma’. 
Vijana hao  ambao wanasema hawawezi kuwa kama mshumaa kumulikia wengine huku wao wakiungua, wana wimbo wao unaovuma Redioni na mitaani ambao unaitwa “ Wale wale”.

No comments:

Post a Comment