UA-45153891-1

Wednesday, February 12, 2014

'JULIANA KANYOMOZI' AMTAKIA SHABIKI YAKE 'ASIIMWE' FURAHA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA


 Juliana Kanyomozi

Mwanamuziki wa nchini Uganda Juliana Kanyomozi, jana alimpa salaam ya  'Happy Birthday' shabiki yake anayeitwa Asiimwe  aliyezaliwa tarehe kama ya jana Februari 10. Juliana ambaye anaitumia vizuri mitandao yake ya kijamii katika kujenga uhusiano mzuri na mashabiki wake, aliandika kupitia ukurasa wake wa Facebook "Happy birthday to a fantastic Juliana super fan. Asiimwe Gatheni Brian. May this day bring you joy and happiness".

Hii ni 'Post' ya Juliana ikiwa na  picha ya shabiki huyo:



No comments:

Post a Comment