UA-45153891-1

Tuesday, February 11, 2014

FLAVIANA MATATA AUKUBALI WIMBO WA 'HISTORIA' WA LADY JAYDEE


Ni baada ya kuona video ya wimbo huo ambayo imedondoshwa Youtube jana Februari 9, 2014. Jaydee ali'tweet' link ya video hiyo na watu wakaanza kutoa maoni yao ikiwa pamoja na mwanamitindo Flaviana Matata.
Endelea  hapa chini kuona video hiyo:


No comments:

Post a Comment